COOKING INSTRUCTIONS
Cooking Time: 10 – 15 Minutes | 500grams serves a total of 6 People.
NutriDense – Cooking Instructions for a packet of 500 grams.Step 1: Pour 500g of NutriDense into a bowl. Add 4 cups or 1litre of water. Soak for up to 5 minutes. Step 2: In a different pot, boil 4 cups of water then add the soaked portion to the boiling water. Step 3: Cover the pot with a lid and let it cook at low heat FOR 10 – 15 mins. (or until the rice is tender). MAKE SURE YOU Stir occasionally to allow even cooking. Incase you do not prefer the plain version, for Further flavoring, you can sauté/fry onions, tomatoes, capsicum, carrots, coconut milk, or other preferred seasonings. A 500g NutriDense pack can serve up to 6 people. NUTRIDENSE, NURTURE YOUR FAMILY WITH THIS NUTRITIOUS AND TASTY MEAL
|
– |
NutriDense – Maelezo Ya Upishi ya gramu 500.
Hatua 1: Mimina mfuko wote kwa sufuria, kisha ongeza vikombe vinne au lita moja ya maji, Loweka kwa dakika 5. Hatua 2: Kwenye sufuria nyingine, chemsha vikombe vinne vya maji, kisha ongeza chakula kilicholoweka kwenye maji hayo . Hatua 3: Funika na uwache chakula kichemke kwa dakika 10-15 ama hadi mchele uwe laini. Koroga mara kwa mara ili chakula kisiungue. (Kwa ladha Zaidi, waweza tumia vitunguu, nyanya, hoho, tui la nazi, au viungo vingine uvipendavyo. Pakiti ya NutriDense ya 500g inahudumia takriban watu 6. KUZA JAMII YAKO NA CHAKULA HIKI KITAMU CHA NUTRIDENSE.
|
NOTES
Storage: Store in a clean dry place away from any form of contamination